RIDHIWANI KIKWETE AWASHA MOTO WA KAMPENI KATA YA UBENA LEO
Mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, kupitia
CCM, Ridhiwani Kikwete (kulia) akiambiwa neno na Mfuasi wa chama hicho
mwenye Jamii ya wafdugaji ya Wamasai, wakati wa mkutano wa kampeni
katika kijiji cha Mwidu, Kata ya Ubena, wilayani Bagamoyo leo.
Msanioin wa muziki wa kizazi kipya Sam wa Ukweli akitumbuiza wakati wa
mkutanio wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, Kata ya Ubena leo, wa
kumnadi mgombea wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ridhiwani Kikwete
leo.
Wazee wakicheza ngoma ya selo wakati wa mkutano huo wa kampeni leo. katika Kijiji cha Mwidu.
Ridhiwani Kikwete na Diwani wa Kata ya Ubena, Mrisho Choka wakiwa
wameinama kwa dakika moja ikiwa ni ishara ya kumkumbuka aliyekuwa mbunge
wa Jimbo la Chalinze marehemu, Bwanamdogo. wakati wa mkutano wa kampeni
za uchaguzi leo katika Kijiji cha Visakazi, Kata ya Ubena leo.
Wafuasi wa CCM wakisikiliza kwa makini huku wakiwa wamejifunika
vipeperushi vyenye picha za mgombea ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani
Kikwete alipokuwa akijinadi katika Kijiji cha Visakazi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwishehe Mlao, akimnadi mgombea
ubunge wa Jimbo la Chalinzi, Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa
kampeni katika Kijiji cha Visakazi.
Wafuasi wa CCM wenye Jamii ya Kimasai wakisikliliza kwa makini hotuba ya Ridhiwani Kikwete, katika Kijiji cha Visakazi, Ubena
Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mmoja wa watu wenye ulemavu baada ya mkutano wa kampeni kumalizika mkutano
Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya mkutano kumalizika
Jnamani naombeni kura zenu ili mnipe nguvu za kulitumiakia Jimbo la
Chalinze. Ndivyo Ridhiwani Kikwete alivyokuwa akijinadi kwa wananchi ili
wampigie kura April 10
Katibu wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Miraji Mataturu aki\hutubia wakati wa
kumnadi Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha
Ubena, Kata ya Ubena, wilayani Bagamoyo leo.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA WA KAMANDA WA M,ATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment