Picha na Taarifa:Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kusajili miradi 9,442 tangu kuanzishwa kwake hadi 2013.

Meneja Uhusiano wa Kituo cha
Uwekezaji Tanzania (TIC) Pendo Gondwe, akizungumza na kituo cha Tv1
baada ya mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwenye ukumbi wa
MAELEZO jijini Dar es Salaam.

Meneja Uhamasishaji wa Uhamaishaji
wa kituo hicho John Mnali akizungumza na waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya kituo hicho katika kuhamasisha uwekezaji wa ndani leo
kwenye ukumbi wa MAELEZO jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja Uhusiano
wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)Pendo Gondwe.
No comments:
Post a Comment