Picha Kutoka Jeshi la Polisi Nchini:Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi idara ya Polisi Wafanyika Mjini Morogoro



Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi
wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi.

Maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” jana mjini
Morogoro wakatiwa ufunguzi wa mkutano wa baraza la wafanyakazi idara
ya Polisi.
No comments:
Post a Comment