Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM akimnadi mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa
kampeni uliofanyika kata ya Kiwangwa , Ridhiwani Kikwete amewaomba kura
wananchi hao kumpigia kura itakapofika Aprili 6 mwaka huu katika
uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa jimbo la Cha;inze
marehemu Said Bwanamdogo aliyefariki hivi karibuni, mkutano huo
umehudhuriwa na maelfu ya wananchina wanaume kwa wanawake vijana kwa wazee.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIWANGWA -CHALINZE)
NAPE NNAUYE AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KATA YA KIWANGWA CHALINZE
Reviewed by
crispaseve
on
1:26 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment