DROO YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YACHEZESHWA KIAINA YAKE JIJINI DAR.
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza kwa njia ya simu na
mmoja wa washindi wa droo ya tano ya promosheni ya Winda Safari ya
Brazili na Serengeti ilyofanyika jana katika Kiwanda cha Bia cha
Serengeti jijini Dar es Salaam.

Mshindi
wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili aliyepatikana wiki iliyopita,
Deusdedit Kahwa akielezea furaha yake kwa wana habari katika droo ya
tano ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti iliyofanyika
jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney
Rugambo.
Mshindi
wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili Deusdedit Kahwa akibonyeza kitufe
kuchezesha droo ya tano ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti.

No comments:
Post a Comment