Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa hapa nchini wamesema hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba itasaidia kubadilisha msimamo wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba.

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi
(kushoto) akizungumza na Mjumbe mwenzake, Prof Costa Mahalu katika
Viwanja vya Bunge hilo, mjini Dodoma jana. Picha na Michael Jamson
--
Baadhi ya wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa hapa
nchini wamesema hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilko ya Katiba,
Jaji Joseph Warioba itasaidia kubadilisha msimamo wa wajumbe wengi wa
Bunge Maalumu la Katiba.
No comments:
Post a Comment