Picha
juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa,
Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari
mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa
ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.…
UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII
Reviewed by
crispaseve
on
10:15 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment