NAIBU WAZIRI WA MAENDELO YA JAMII PINDI CHANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI RUDEWA.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana
akimkaribisha Mama yake mzazi Regina Mlowe kuzungumza machache katika
sherehe za kumkaribisha zilizofanyika katika ukumbi wa CCM wilaya ya
Rudewa
Mama
mzazi akiwashukuru wananchi wa Rudewa katika sherehe za kumkaribisha
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.
baadhi
ya wanachama wa CCM wakiwa katika sherehe za kumkaribisha Naibu Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana.
Mkuu
wa Wilaya ya Rudewa Juma Solomon Madaha akizungumza wakati wa
kumkaribisha Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi
Chana. (Picha zote na Denis Mlowe).
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Pindi Chana akicheza muziki na baadhi ya viongozi wa ccm wilaya ya Rudewa
No comments:
Post a Comment