Header Ads

MWANZA, MORO NAO WAGOMEA MASHINE ZA EFD


Wafanyabiashara jijini Mwanza na mkoani Morogoro nao wamefunga maduka leo ikiwa ni muendelezo wa kupinga matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD). Tayari, wafanyabiashara miji ya Iringa, Songea na Mara wametoa msimamo wa kugomea matumizi ya mashine hizo na kuazimia kufunga biashara zao kama njia ya kupinga matumizi yake. Jijini Dar wafanyabiashara wa maduka ya Kariakoo bado wameendelea na mgomo huo ulioanza jana.

No comments:

Powered by Blogger.