WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif
Seleman Rashid (wa kwanza kulia) na mtoto kutoka familia ya Aga Khan (wa kwanza
kushoto) wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani
kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo
ulifanyika katika ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif
Seleman Rashid akipata maelezo mbalimbali baada ya uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani
kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo
ulifanyika katika ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif
Seleman Rashid (wa pili kulia) akimjulia hali mmoja kati ya wagonjwa wakati wa
uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika hospitali
ya Aga Khan Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni mtoto kutoka familia ya Aga
Khan, Zahra akishuhudia, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa hospitali
hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif
Seleman Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na mtoto kutoka familia ya Aga
Khan, Zahra, wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya
kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika
katika ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif
Seleman Rashid akihutubia baada ya kuzindua huduma ya matibabu ya saratani
kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo
ulifanyika katika ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment