TBL KUKARABATI MIUNDOMBINU YA MAJI JENGO LA WAZAZI HOSPITALI YA AMANA DAR
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Ilala, Jesca Njau (kushoto)
akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Mbindo, Phillemon Haule (kulia),
mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 68 ikiwa ni msaada wa
kugharamia ukarabati wa miundombinu ya maji katika wodi ya wazazi ya
Hospitali ya Rufaa ya Amana, Ilala Dar es Salaam juzi. Wanaoshuhudia ni
Mhandisi wa TBL, John Malisa (wa pili kushoto) na Mganga Mkuu wa
hospitali hiyo, Dk. Meshack Shimwela.
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ilala, Jesca Njau
(kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Amana, Dk.
Meshack Shimwela (wa pili kulia), mfano wa hundi yenye thamani ya sh.
mil. 68 ikiwa ni msaada wa kugharamia ukarabati wa miundombinu ya maji
katika Wodi ya Wazazi ya katika hospitali hiyo.Wanaoshuhudia
makabidhiano hayo yaliyofanyika hospitalini hapo Dar es Salaam juzi, ni
Mhandisi wa TBL, John Malisa (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni
ya Mbindo, Phillemon Haule.
Akina mama wakiwa katika wodo hiyo ya wazazi
Malulu na Bertha Mturi wakiangalia watoto wachanga katika wodi hiyo
Maulu na Jesca Njau wakitembelea Wodi ya Wazazi.
Malulu akiwa na Dk. Shimwela alipokuwa akitembelea Wodi ya Wazazi kukagua miundombinu ya maji.
No comments:
Post a Comment