Rais Jakaya Kikwete Ateta na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Wakati wa Mazishi ya Mbunge wa Chalinze-CCM Marehemu Said Bwanamdogo


Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa kambi ya Upinzani
Bungeni Freeman Mbowe (CHADEMA) wakati wa mazishi ya mbunge wa Chalinze
Marehemu Said Bwanamdogo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Miono
Wilayani Bagamoyo jana.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment