Rais Jakaya Kikwete Apokea Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM)Zanzibar kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar Leo

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete
akikagua Brass Band ya Chipukizi kabla
ya kupokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete
akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete,
Makamu wa Mwenyekiwa CCM (Visiwani) na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine
waki imba wimbo wa mashujaa wakati wa ya
kupokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete
akihutubia baada ya kupokea maandamano
ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo
January 5, 2014

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana
na wana UVCCM baada ya kupokea
maandamano ya watembeaji kusherehekea
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini
Zanzibar leo January 5, 2014.Picha Zote na IKULU
No comments:
Post a Comment