Header Ads

PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS: MAKAMU WA RAIS AWASILI ZANZIBAR KUZINDUWA KAMPENI KIEMBESAMAKI LEO



 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu  wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Alhajj Rajab Kundiya alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar   utakaofanyika leo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar   utakaofanyika leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mgombea Uwakilishi Jimbo la KiembeSamaki CCM Mahmoud Thabit Kombo, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo utakaofanyika leo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Powered by Blogger.