HABA NA HABA KUTOKA BBC SWAHILI: Hali ya miundombinu Tanzania
HABA NA HABA KUTOKA BBC SWAHILI: Hali ya miundombinu Tanzania
Tanzania imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha Miundombinu yake hasa ya Barabara nchini humo.
Ni kwa kiwango gani uboreshwaji huu umewasaidia wananchi wa Tanzania?
Haba na Haba Tv ilifika mkoani Kigoma ikikuletea simulizi hii ya barabarani!
Chanzo BBC Swahili
No comments:
Post a Comment