Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa
ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo
la Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
|
No comments:
Post a Comment