WAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Maaskofu wa Kaisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya
miaka 50 ya Kanisa Kuu la jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha
Desemba 30,2013.

No comments:
Post a Comment