TAZAMA PICHA KWA MAKINI NA WEKA NENO HAPO
Hapo
ilikua ni katika Kikao Muhimu sana cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini Eliakim Maswi akitoa maelezo juu ya maendeleo ya sekta ya
nishati kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Ubou
Sabaa (aliyeketi upande wa kulia). Lengo la kikao hicho lilikuwa ni
kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya sekta ya nishati katika maeneo ya
ulipaji kodi, mapato, ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na
uboreshaji wa shirika la Tanesco.
No comments:
Post a Comment