Header Ads

PICHA : NELSON MANDELA AWEKA HISTORIA AFRIKA KUSINI MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KATIKA MISA YA KUMUOMBEA UWANJA WA FNB JOHANNESBURG AFRIKA KUSINI.

Eulogy: U.S. President Barack Obama acknowledges the crowd as he delivers his speech at the memorial service for Nelson Mandela in Johannesburg

Fitting setting: A general view of the arena which was the location of Mr Mandela's first speech in Johannesburg after he was released from prison in 1990
Zaidi ya maraisa tisini wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kwa Shujaa huyo wa Afrika.
Akiongea kwenye mkusanyiko huo mjini Soweto, Rais wa Marekani Barack Obama alimtaja Mandela kuwa shujaa na mkombozi wa Afrika na shujaa shupavu kuwahi kuonekana katika karne ya ishirini.
Alisema maisha ya Mandela lazima yawe mfano mzuri kwa dunia nzima hasa vita alivyopigania kuhakikisha utu wa watu unaheshimiwa.
Jamaa za Mandela wamemtaja baba yao Mandela kama mtu aliyetaka watu kuwa sawa.
Mmoja wa wajukuu wa Mandela alikariri shahiri la kusisitiza mshikimano wa watu. Obama alishangiliwa ingawa Rais Jacob Zuma anayehutubia wananchi alizomewa mara kwa mara.
Uwanja ambako misa hiyo inafanyika, haukujaa watu kutokana na mvbua kubwa iliyonyesha.
Maelfu ya watu wamehudhuria misa hiyo katika uwanja wa FNB.
Afrika Kusini imeandaa shughuli mbali mbali za kumuenzi Mandela kabla ya siku ya kuzikwa kwake nchini Afrika Kusini siku ya Jumapili.
Misa ya leo ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya viongozi wa kimataifa iliyoshuhudiwa nchini humo katika miaka ya hivi karibuni.
Viongozi wengine Watakaohudhuria misa ya wafu ya Mandela:
Watu wengi walikaidi hali mbaya ya hewa ambapo mvua kubwa imenyesha huku wakikusanyika uwanjani humo wakisubiri kwa muda mrefu kabla ya misa hiyo kuanza muda mfupi uliopita.
Waliohudhuria misa hiyo wamesemekana kuwa wenye furaha wakiimba nyimbo na kutaja jina la Mandela kwa shangwe unaweza kudhani ni mkutano wa kisiasa.
Misa hiyo itafanyika katika uwanja ambako Nelson Mandela alionekana kwa mara ya mwisho hadharani.
Misa hiyo itaonyeshwa kwenye skrini kubwa nje ya uwanja ili kuzuia msongamano wa watu.
Mandela alifariki akiwa na umri wa miaka 95 na kwa wengi yeye ni shujaa na mkombozi wa Afrika Kusini.
Rare display of unity: President Obama shakes hands with Cuban leader Raul Castro in spite of the animosity between them
Historic: The handshake between the leaders of the two Cold War enemies came during a ceremony that focused on Mandela's legacy of reconciliation
Rais Barack Obama akipena mkona na Rais ya watu wa CUBA kiongozi Raul Castro ambaye ni mdogo wa Fidel Castro, tukio ambalo lilivuta hisia za watu wengi licha ya kuwepo kwa tofauti ya nchi hizo.
'His triumph was your triumph': President Barrack Obama is shown on a big screen as he delivers his eulogy to flag-waving and umbrella-holding mourners
Mutual respect: President Obama speaks to Nelson Mandela's widow Graca Machel during the memorial service
Rais wa Marekani, Barack Obama akisalimia na mjana wa Mzee Nelson Mandela, Graca Machel.
Two very different receptions: Mr Obama, who was greeted with prolonged applause, embraces South African president Jacob Zuma, who was loudly booed
Respect: Nelson Mandela is shown on a giant screen inside the stadium as thousands of South Africans and global dignitaries file into the ground
Rivals: But George W. Bush, pictured with wife Laura, apparently got on well with his successor Bill Clinton, pictured with wife Hillary and Chelsea
Tony Blair
'He has done it again... people from all walks of life, all here, united': UN Secretary General Ban Ki-Moon pays tribute to Mr Mandela
The highest spots: Spectators gather ahead of the Tuesday memorial ceremony
Colourful: A woman dressed in the regalia of the South African national rugby team arriving at the stadium

No comments:

Powered by Blogger.