Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
PICHA NA IKULU
RAIS DKT. KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MADIBA
Reviewed by crispaseve
on
8:06 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment