MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM.
Mohamed Achume anayelelewa katika kituo cha kule yatima
cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam akikabidhiwa msaada
wa gunia la mchele na Afisa
habari wa Mamlaka ya Usafiri wa
Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila (kushoto)
ikiwa ni sehemu ya vyakula mbalimbali vilivyotolewa na mamlaka hiyo kwa ajiri
ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya krismasi.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi
msaada wa mafuta ya kula Mohamed Achume ambaye ni miongoni mwa watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha
New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali
vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila akiwakabidhi
msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha
yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula
mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Ally Changwila (kushoto) akiwa na
wafanyakazi wenza katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa
katika kituo cha New Life Orphans Home
kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Baada ya kuwa kabidhi msaada wa vyakula
mbalimbali yakiwemo mafuta ya kupikia , mchele na sukari.
No comments:
Post a Comment