Header Ads

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MUELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014


 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014.
 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akisoma tathimini ya mueleko wa mvua kwa kipindi cha January hadi Machi Mwaka 2014
 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akionyesha moja ya Grafu zinazoonyesha tathmini ya mvua kwa kipindi cha January hadi Machi 2014
 Moja ya grafu inayoonyesha tathmini ya mvua kwa kipindi cha January hadi Machi 2014

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza mkurugenzi wa mamlaka ya hali ya hewa.

No comments:

Powered by Blogger.