MAMA REGINA LOWASSA ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA PAMOJA NA WATOTO WENYE ULEMAVU JIJINI ARUSHA
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika
Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki
jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada
ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana.


No comments:
Post a Comment