Header Ads

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA TMF NDANI YA NEW DODOMA HOTEL BAADA YA DARASA


Wadau wa mtandao  wa matukio  daima wakiwa na mmiliki wa mtandao  huo kushoto
Washiriki  wa mafunzo ya uandishi  bora wa blogu wakipata msosi ndani ya new Dodoma Hotel  mchana  wa  leo
Mwezeshaji  wa  mafunzo  ya  uboreshaji  wa uandishi wa  mitandao  ya kijamii kutoka TMF  Bw  Simon Mkina  akijipunzisha  ndani  ya New Dodoma  Hotel baada ya  kutoka  darasani  mchana  wa  leo,amini mwezeshaji  huyo ni  zaidi ya mwezeshaji kwani  nondo zake  kila mwana Blogu amezinyoshea  mkono pamoja na mwenzake Beda Msimbe

No comments:

Powered by Blogger.