Header Ads

Wafanyabishara wa maduka mbalimbali katika eneo la Kariakoo jijini Dar es salaam wamegoma kufungua maduka yao wakilalamikia ujio wa mashine za risiti na kodi -EFD kutoka mamlaka ya mapato Tanzania - TRA.


No comments:

Powered by Blogger.