Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Afanya Ziara Kisiwani Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akiteremka katika ndege ya Serikali alipowasili katika uwanja wa Ndege
wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi mbali
mbali na Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kama isara ya uzinduzi wa kituo cha kununulia
Karafuu cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba,akiwa
katika ziara maalum kisiwani Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiangalia Karafuu katika kituo cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya
Wete Pemba baada ya kkukifua rasmi kituo hicho cha kununulia zao
hilo,akiwa katika ziara maalum kwa mikoa ya Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na wananchi baada ya kuapata maelezo na kuona hali
halisi ya ununuzi wa zao la Karafuu katika kituo cha
Chanjaani_Mtambwe,baada ya kukifungua kituo hicho akiwa katika ziara
maalum katika Mikoa ya Pemba .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment