Header Ads

TBL YAADHIMISHA MIAKA 20 YA UBIA WA SABMILLER NA SERIKALI YA TANZANIA


 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL( Bw. Robin Goetzsche (kuli( akijadili jambo na baadhi ya watendaji wakuu wa Kampuni hiyo wakati wa tafrija fupi ya kuadhimisha miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL( Bw. Robin Goetzsche (kushoto( akiwasikiliza baadhi ya watendaji wakuu wa Kampuni hiyo wakati wa tafrija fupiya miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL(, wakijipongeza kwa vinywaji wakati wa tafrija fupi ya miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni
Baadhi ya Watendaji wa Wakuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakijadiliana jambo, walipojumuika na wafabnyakazi kwenye tafrija miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL(, wakijipongeza kwa vinywaji wakati wa tafrija fupi ya miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni
Wasanii maarufu wa bendi ya muziki ya The African Star wana Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (kushoto( na Dogo Rama wakitoa burudani wakati wa tafrija tafrija fupi ya kuadhimisha miaka 20 ya Muungano kati ya SABmiller na Serikali Tanzania iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Powered by Blogger.