MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU AFUNGUA MKUTANO WA KATA 17 WA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM LEO
Washiriki wa mkutano huo wakimsikikliza Mbunge wao Alipo ufungua mkutano wa kata 17 za Temeke
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu Akifungua Mkutano wa kata 17 za wazee wa Dar es Salaam
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu Akisalimiana na Mmoja wa viongozi wa wazee Juma Kapaya
Mmoja wa wajumbe wakamati hiyo ya
wazee akiwapungia Mikono wajumbe wenzake baada ya kuteuliwa kua
Mwenykiti wa kamati ya wazee,Mkoa wa Dar es Salaam leo
Viongozi wapya walio teuliwa kushika nyadhifa za uongozi wa Wilaya wakiwapungia mikono wanachama wa lio fika katika hafla hiyo
PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA(Mmiliki wa ujijirahaa.blogspot.com)o713\0757-481158
No comments:
Post a Comment