Header Ads

Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Watu 16 wanaosadikika kuwa wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia, waliokua katika harakati za kusafirishwa kwenda Afrika kusini wametiwa mbaroni na jeshi la polisi kanda maalum ya Dar-es-Salaam eneo la Makongo juu manispaa ya Kinondoni

No comments:

Powered by Blogger.