RAIS KIKWETE AWASILI POLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA TABIA NCHI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw, Poland, kuhudhuria
mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Kyoto kuhusu mabadiliko ya Tabia
Nchi unaoanza leo Jumanne Novemba 19, 2013.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment