MARKETERS NIGHT ILIVYOFANA JIJNI DAR
Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akitoa neno kwa wageni waalikwa(hawapo pichani)katika usiku wa Wanamasoko uliofanyika mwishoni mwa wiki katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliohudhuria Marketers Night Out
Wageni waalikwa walipata nafasi kuonja na kufurahia bidhaa za Kampuni ya bia ya Serengeti, mmoja ya wageni akimiminiwa kinywaji cha Johnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti.
Msemaji mkuu wa Marketers Night Steve Gannon ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti akitoa somo kwa wanamasoko waliohudhuria katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment