Dk Shein azungumza na Baraza la wazee wa CCM Pemba
Wazee
wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,wakiwa katika mkutano
na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika
ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini
Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo,Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini
Pemba,John Shija,(kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa huo
Mohamed Ali,akizungumza na Baraza la Wazee Mkoa wa Kusini pemba katika
ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini
Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Bw.Dhamir
Kombo Foum,wa Makoongwe jimbo la Mkoani alipokuwa akitoa mchango weke
wakati wa mkutano wa Wazee wa Baraza la Wazee la Mkoa wa Kusini
Pemba,chini mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani)katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa
katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Mama
Shadya Makame Haji, wa Chambani Wilaya ya Mkoani,alipokuwa akitoa rai
wakati wa Mkutano wa Kutathmini na kutoa rai za Kuongeza Nguvu katika
uhai wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini,wakati wa Mkutno wa Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa
Kusini katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara
Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Mjumbe
wa Baraza la Wazee wa CCM Haji Hamadi Kombo, kutokaTawi la CCM
Mkoroshoni Wilaya Chakechake,alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa
Mkutno wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Baraza la
Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake,
akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Haji Omar
Kheir,akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyoulizwa katika Mkutano
wa baraza la Wazee wa CCM na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa
Kusini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Serikali,Wakuu wa
Mikoa,Maafisa Tawala na Maafisa Wadhamini,ukumbi wa Ikulu ya Chake chake
Pemba alipomalizia ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba jana. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment