BODI YA NBC YAFANYA MAZUNGUMZO NA WATEJA WAO JIJINI DAR
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) akisalimiana na
mmoja wa wateja wa makampuni ya benki hiyo, Ankush Shah katika hafla
hiyo. Katikati ni Mujumbe wa Bodi ya NBC, Daniel Btits.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (kushoto), akizungumza na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) William
Erio katika hafla iliyoandaliwa na bodi kwa wateja wa makampuni
kubadilishana mawazo na kuwajulisha mipango na maendeleo ya benki hiyo.
Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sekta za Umma na Huduma za
Kibenki kwa Taasisi wa benki hiyo, William Makoresho na kulia ni Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Hazina, Burton Hamisi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Bi. Mizinga Melu (kulia), Mjumbe wa Bodi, Dk.
Hussein Kassim (kushoto), wakifurahi pamoja na baadhi ya wateja wa
benki hiyo katika hafla hiyo ambayo NMBC imesema huo ni mwanzo wa
matukio ya kila mara ambapo viongozi watakuwa watakutana na wateja ili
kujua mahitaji yao na kubadilishana mawazo. Wa pili kushoto ni Rishad
Karimjee na Farishta Kohli wote kutoka Toyota.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Akiba wa Mashirika ya Umma (PPF), William Erio
(katikati) akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki kwa
Wateja Wakubwa cha Benki ya NBC Tanzania, Andre Potgieter katika hafla.
Kushoto ni Naibu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa NBC, Minnie Adolf
Kibuta.
Baadhi ya wateja wakibadilishana mawazo na maofisa wa NBC katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment