Header Ads

AFRICAN BARRICK GOLD MINE KUKABIDHI MGODI WA TULAWAKA KWA STAMICO


  Waziri wa Nishati na Madini Profesa  Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa habari  leo kuhusu  makubaliano ya kukabidhi mgodi wa Tulawaka kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kutoka kwa  Kampuni ya Uchimbaji wa Madini  ya Afrikan Barrick  Gold (ABG).
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),Gray  Mwakalukwa (wa pili kushoto) na Makamu wa Rais wa  Afrikan Barrick Gold   Mine, Deo  Mwanyika (wa pili kulia) wakitia saini leo makubaliano ya kukabidhi mgodi wa Tulawaka kwa STAMICO. Kulia ni   Mshauri Mkuu wa Afrikan  Barrick Gold  Mine Katrina White  na Kushoto  Mkurugenzi wa Utafiti kutoka STAMICO Gideon Mwaya.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Gray  Mwakalukwa (kushoto) na Makamu wa Rais wa  Afrikan Barrick Gold   Mine, Deo  Mwanyika (kulia wa pili )wapeana mikono  baada ya kutia  saini leo makubaliano ya kukabidhi mgodi wa Tulawaka kwa STAMICO. Kulia ni   Mshauri Mkuu wa Afrikan  Barrick Gold  Mine Katrina White. Picha na na Magreth Kinabo –MAELEZO

No comments:

Powered by Blogger.