UTAFITI WAONESHA KIFUA KIKUU(TB) KUSUMBUA VIJIJINI ZAIDI UKILINGANISHA NA MIJINI.
Mtoa mada na Mtafiti wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu(TB)Dr Said
Egwaga akizungumza na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Ngurdoto
mkoani Arusha juu ya utafiti walioufanya mwaka 2011 katika wilaya 62
nchini ulibaini kati ya watu Laki moja kuna wagonjwa wa Kifua Kikuu 295
na waliothirika zaidi ni wanaume ukilinganisha na wananwake na idadi
kubwa iko maeneo ya Vijijini ukilinganisha na mijini tofauti na
walivyotarajia.
Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele nchini.Dr
Upendo Mwingira akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano
wa Kimataifa cha taasisi za afya za jamii unaofanyika mkoani Arusha.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu leo
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu leo.
No comments:
Post a Comment