Serikali kuwabana watakaokiuka matumizi ya kemikali za Viwandani na Majumbani
Meneja wa Kanda
ya Mashariki,Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Daniel Ndiyo
(Kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari juu ya Utekelezaji wa Sheria namba 3 ya mwaka 2003 ya Kemikali za
Viwandani na Majumbani, Wakati wa mkutano uliofanyika Ukumbi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Hassan Silayo. PICHA
NA FRANK MVUNGI- MAELEZO.
========== ======= =========
WAKALA WA
MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
UTEKELEZAJI
WA SHERIA YA KEMIKALI ZA VIWANDANI NA MAJUMBANI NAMBA 3 YA MWAKA 2003
1. WakalawaMaabarayaMkemiaMkemiaMkuuwaSerikalini:
·
Ni taasisiyaSerikaliiliyochiniyaWizarayaAfyanaUstawiwaJamii
, ambayo ni Mshauri Mkuu wa Serikali kwenye masuala yanayohusu uchunguzi wa
kimaabara
·
Ni taasisi inayosimamia Sheriaya
Kemikali za Viwandani na Majumbani namba
3 ya mwaka 2003
·
Ni taasisi inayosimamia Sheria
ya Vinasaba vya binadamu na 8yamwaka
2009, na kufanya Uchunguzi wa sampuli za Vinasaba vya binadamu.
2. Huduma
zinazotolewa na Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikalini:
·
Kufanya uchunguzi wa kimaabara
kuhusiana na ubora na usalama wa mali ghafi na bidhaa zinazozalishwa viwandani,
chakula, dawa, kemikali, maji ya kunywa, maji taka na nyinginezo,
·
Kufanya uchunguzi kwa sampuli
zinazohusiana na jinai kama vile mauaji, ubakaji, sumu, ujambazi, kusingiziwa
au wizi wa watoto, madawa ya kulevya na mambo mengine mengi ya kijinai ili
kuhakikisha kuwa haki inatendeka,
·
Kufanya uchunguzi kuhusiana na
sampuli za jinai na masuala ya kijamii zinazohusisha vinasaba vya binadamu
(Human DNA),
No comments:
Post a Comment