Dr Slaa awahutubia waTanzania wa DMV katika Mkutano wa CHADEMA Washington DC
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, katika Mkutano wa CHADEMA DMV alipozungumza na waTanzania waishio DMV mustakabali mzima wa Taifa letu, Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Nirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, akiwahutubia waTanzania wa DMV katika Mkutano wa Chadema DMV Washington DC
video yake
Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwana Iddy Sandaly (kushoto) pamoja na waTanzania waishio DMV wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, katika Mkutano wa CHADEMA DMV.
Katibu wa wanawake Tawi la Chdema DMV, (wapili kushoto) Dada Maryam akiwa na mkereketwa wa Chadema Boston Ma, Dada Rehema, wakiwa na baadhi ya wageni walikwa katika Mkutano wa CHADEMA DMV alipozungumza na waTanzania waishio DMV mustakabali mzima wa Taifa letu, Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Nirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Leticia Nyerere CHADEMA, Mke wa Dr Slaa Mama Josephine Mushumbuzi, wamoja na Viongozi wa Tawi la Chadema DMV
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, katika Mkutano wa CHADEMA DMV alipozungumza na waTanzania waishio DMV mustakabali mzima wa Taifa letu, Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Nirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com) Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, akiwahutubia waTanzania wa DMV Jijini Washingtton DC. Sikiliza kwa makini Video ya hotuba, Sehemu ya kwanza na yapili ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, katika Mkutano wa CHADEMA DMV Jijini Washington DC Video ya Maswali na Majibu kutoka kwa waTanzania washio DMV Itawajia punde.
No comments:
Post a Comment