Mke Wa Rais Mama Salma
Kikwete Akiwapungia Wageni Waalikwa Katika Hafla Fupi Ya Siku Ya Watoto
Yatima.Iliofanyika Katika Viwanja vya ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)
Dar es Salaam leo. Ilio Fadhiliwa Na Twiga Cement Na Rotary Club Dsm
Nrth
Mke Wa Rais Mama Salma
Kikwete Akisalimiana Na Mkukurugenzi Wa Twiga Cement Pascal Lesoinne
Baada Ya Kuongea Na Wageni Waalikwa Waliofika Katika Hafla Hiyo.
Mke Wa Rais Mama Salma
Kikwete Akirusha Mshale Kwenye Maputo Ishara ya Uzinduzi ya Siku ya
Watoto Yatima Iliofanyika Katika Ofisi ya Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Dar es Salaam leo.
Baadhi ya watoto Hao
Wakiwa katika hafla hiyo.
Mke Wa Rais Mama Salma
Kikwete Akijadili jambo Pamoja Na Walezi Na Watoto Hao Katika Hafla
Fupi Ya Siku Ya Watoto Yatima.Iliofanyika Katika Ofisi ya Wanawake na
Maendeleo (WAMA) Dar es Salaam leo. Ilio Fadhiliwa Na Twiga Cement Na
Rotary Club Dsm Nrth.PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA
Reviewed by
crispaseve
on
1:10 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment