Header Ads

DK. FENELLA AZINDUA KAMATI YA MAUDHUI YA SEKTA YA UTANGAZAJI

 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya Sekta ya Utangazaji wakati alipoizindua Kamati hiyo  (leo) jijini Dar es Salaam kushoto kwa Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Bibi Rehema Makuburi.Picha zote na Benjamin Sawe.

No comments:

Powered by Blogger.