TIGO YATOA MSAADA WA SH. MIL 32 MPANGO WA DAMU SALAMA
Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Alex Msigara (kulia),
akimkabidhi Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk.
Efesper Nkya (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 32 za
kusaidia uhamasishaji ucangiaji wa damu kwa hiari kwenye maadhimisho ya
Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika Kitaifa mjini Lindi Desemba Mosi,
mwaka huu. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully
Mwaikenda. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Efesper Nkya (kushoto), akitoa shukurani kwa kampuni ya Tigo
Waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano huo
Meneja Masoko wa Tigo, Alex Msigara (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda |
No comments:
Post a Comment