Taarifa zilizoifikia blog hii usiku huuzinaeleza kuwa Mke wa
Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed pichani, Bi Kissa, amefariki dunia usiku huu
kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.
Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kwa kadri zitakavyo tufikia.
|
No comments:
Post a Comment