Header Ads

HOUSE PARTY MBEZI BEACH!!!

Oii guyss
kwa wale wapenda bata.wapenda good time na wanaopenda kujirusha..
Tarehe 8 december kutakuwa na bonge la HOUSE PARTY MBEZI BEACH,
kutakuwa na nyama choma
shots za cocktail
vinywaj vyote vitakuwepo mpaka balimi..
Wasanii na burudani ya kutosha..
Na games mbalimbal za kijanja..
Njoo u0nane na friends zako wa fb.
Njoo ufurahie maisha,
njoo tufurahie kiboss,
Njoo upate mchumba mweh.
Njoo mbadilishane pin na numbr za simu.
Sehemu za giza giza za kukiss zipo..
Nyumba ni kubwa

Lets have funy guys tym yetu ndo hii
bila kusahau camera za full bata zitakuepo..
.couple watakaopendeza watapata zawadi.
Kama una crush fb tuambie jina lake thn nunua ticket tutahakikisha yo crush tutamfanya auzurie party.
Na katka games za kwny party u myt kiss ich other loh.

Ticket 10000/= tu
Kwa maelezo zaidi au kama unahitaj ticket pga numbr zifuatazo
0714471511 stewart
0653629094 king sage
.
Bhado wiki mbili tu.

Karibu tel yo friend to tel a friend bot the party...

No comments:

Powered by Blogger.