MSUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UMAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA
Kada
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Msungu (kushoto) akikabidhiwa na
Mkuu wa Idara ya Organaizesheni na Siasa wa Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM), Sophia Duma, fomu ya maombi ya kugombea umakamu mwenyekiti wa
UVCCM-Taifa, katika Makao Makuu ya umoja huo, Dar es Salaam leo. (PICHA
NA RICHARD MWAIKENDA)
No comments:
Post a Comment