Mwenyekiti wa Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akifungua rasmi mkutano wa wadau wa chanjo wa uraghibishi kuhusu
uanzishaji wa chanjo mbili mpya za kukinga magonjwa ya nimonia na
kuhara kwa watoto. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya
Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012. Taasisi ya WAMA
hujishughulisha pia na masuala ya afya ya mama na mtoto. PICHA NA JOHN
LUKUWI
|
No comments:
Post a Comment