MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUTURISHA MIGOMBANI UNGUJA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislam, katika swala ya
Magharibi wakati alipojumuika na waumini hao katika Futari ya pamoja
aliyowaandalia na kufuturu nao Migombani Unguja mjini Zanzibar jana.
Wake
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia
Bilal (wa pili kulia) na Mama Asha Bilal (katikati) wakijumuika na
waumini wa dini ya Kiislam, wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, kwa waumini hao iliyofanyika Migombani Unguja, mjini
Zanzibar jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislam, baada ya
kufuturu nao futari ya pamoja aliyowaandalia Migombani Unguja mjini

Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki nao
katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana
Migombani Unguja mjini Zanzibar.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia
Bilal, akipiga picha ya pamoja na baadhi ya kinamama, baada ya kushiriki
nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika jana
Migombani Unguja mjini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment