BENKI YA KIISLAM YA WATU WA ZANZIBAR PBZ WAFUTURU NA MAKAMU WA RAIS DKT BILAL
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongazana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad
Mussa Salum (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Kiislam ya Watu
wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana Agosti 8, 2012 kuhudhuria
hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo na kufutari pamoja na
baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu walioalikwa. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kulia) akiwaongoza
baadhi ya Viongozi wa dini na Serikali ‘kujisevia’ futari wakati wa
hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
(PBZ) na kufuturu pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na baadhi ya
Waumini wa dini ya Kiislamu walioalikwa katika hafla hiyo, jana Agosti
8, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour,
akizungumza machache kuhusu kazi na utendaji wa kazi za Benki hiyo ya
Kiislam ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na malengo yake wakati wa hafla hiyo
ya futari iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Akitoa
neno la shukrani kwa mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi
ya Waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria hafla ya futari
iliyoandaliwa na Benki ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakipata
futari wakati wa hafla hiyo.
Baadhi
ya Waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria hafla ya futari
iliyoandaliwa na Benki ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakishiriki
kuomba dua ya pamoja wakati wa hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi
wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam jana Agosti 8, 2012. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam,
Suleiman Kova, na baadhi ya waumini wa dini ya kiislam baada ya hafla
hiyo ya futari iliyoandaiwa na Benki ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
(PBZ) jana, Agosti 8, 2012 katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar
es Salaam.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Sheikh, Abdulla Tarib Abdulla na baadhi ya waumini
wa dini ya kiislam baada ya hafla hiyo ya futari iliyoandaiwa na Benki
ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika ukumbi wa Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:
Post a Comment