WAZIRI MEMBE ATOA MKONO WA POLE KWA RAIS WA ZANZIBAR
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Ali Mohamed
Shein,akisalimianana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa
Benard Membe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa madhumuni ya kutoa
mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni
ya Seagul,na kusababisha wananchi kupoteza maisha. Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu

No comments:
Post a Comment