Taswira Mbalimbali Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma Leo
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23,
2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said Arfi
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said Arfi
na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma July 23,2012.Picha naOfisiya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment