TMA YAWATAHADHARIDHA WANAOISHI MABONDENI KUONDOKA. GHARIKA LA MVUA ZA MASIKA KUJA TENA
Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi
(kushoto)akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es
Salaam leo, kuhusu mwelekeo wa mvua za masika za Machi hadi Mei mwaka
huu. Kulia ni Mkurugenzi Huduma za Utabiri wa mamlaka hiyo, Dk. Hamza
Kabelwa.
Wanahabari wakiwa kazini
wakati wa mkutano huo
Uongozi wa TMA,
uwmewatahadharisha wananchi kuondoka mabondeni kufuatia utabiri wa
kutokea kwa mvua kubwa za masika zinazoweza kwasababishia maafa.
Pia ameshauri Halmashauri na Manispaa, kuandaa miundombinu mizuri ikiwemo kurekebisha mifereji ya kupitisha maji taka ili mvua kubwa itakapoanza kunyesha maji yawe yanatitirika bila matatizo.pasipo kukwama na kusababisha mafuriko yenye madhara.
Alisema kuwa mvua hizo za masiika zitaanza kunyesha kuanzia Machi hadi Mei mwaka huu katika baadhi ya maeneo nchini, likiwemo Jiji la Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment