MPIGANAJI SAMSON MBEGA AMEAGA DUNIA LEO
Mpiganaji mwenzetu katika
tasnia ya habari nchini, Samson Mbega *(pichani) amefariki Dunia leo
katika Hospitali ya Regency, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa
matibabu.
Marehemu Mbega ambaye mpaka mauti yanamkuta alikuwa anafania kazi katika gazeti la Nipashe, amewahi pia fanyia kazi Shirika la Habari Tanzania (SHIHATA), Kampuni ya Business Times na gazeti la Ngurumo za Simba.
Msiba upo Temeke Mwisho ambako unafanyika pia utaratibu wa kumuaga na hatimaye kusafirishwa kwenda kwao Kisarawe, Pwani kwa maszishi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amin

No comments:
Post a Comment